Taarifa kwa Umma

Uongozi wa Amana Bank unapenda kuufahamisha Umma kupuuza taarifa ya uzushi inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Amana Bank imefungwa na kuwa hazina imewaelekeza wakuu wa idara na vitengo...

read more

Ushiriki wa Amana Bank katika Tamasha na Semina ya Viongozi Kirinjiko

Amana Bank ilipata fursa ya kushiriki na kuwasilisha mada katika Tamasha na Semina ya Viongozi iliyoandaliwa na kamati ya kuendeleza Uislamu Tanzania iliyofanyika Kirinjiko wilayani Same,...

read more

Maadhimisho ya Miaka Mitano na Wiki ya Huduma kwa Wateja

Tarehe 24 Novemba 2016, Amana Bank ilifanya maadhimisho ya kutimiza miaka mitano tangu kuasisiwa kwake mnamo tarehe 24 Novemba 2011 ikiwa ni Benki ya kwanza ya kiislamu Tanzania. Maadhimisho...

read more

Amana Bank celebrates the high performing employees

On the 22 nd September, Amana Bank celebrated its deposit mobilizing high performing employees. This past quarter, 2 employees received the Platinum Award for Deposit Mobilization where the 1 st...

read more

Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa

Kwa mara nyingine tena, Amana Bank imeshiriki katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam maarufu kama SabaSaba. Katika msimu huu, lengo kuu lilikuwa ni kuonesha bidhaa zetu...

read more

Call Center Launch - Customer First

As part of strategies to enhance customer experience and service delivery, Amana Bank has formally launched its 1st class and multi-channel call center themed ‘Customer First’ to provide all round...

read more

The 8th Welcoming Ramadhan Conference

Tunajivunia kuwa wadhamini rasmi wa kongamano la kukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan (Welcoming Ramadhan Conference) kwa mwaka wa tano mfululizo. Dhumuni kubwa la kuendelea kudhamini...

read more

Risala ya Mkurugenzi Mtendaji, katika Uzinduzi wa Tawi la Amana Benki - Mbagala

Ndugu Mgeni Rasmi, Mhe. Naibu Waziri wa Fedha, (mwakilishi wa Muheshimiwa Samia Suluu Hassan, makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Mkuu...

read more

Sasa Tumewafikia Wakazi wa Mbagala.

Amana Benki inaendelea kujivunia kuwa benki ya kipekee inayo toa huduma za kisasa za kifedha kwa kuzingatia maadili na misingi ya Sharia za kiislam kikamilifu. Siku ya leo, Alhamisi Februari...

read more

Amana Bank yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja

Benki ya kwanza ya kiislamu Tanzania, Amana Bank ilifanya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja mnamo tarehe 23 mpaka tarehe27 Novemba 2015. Maadhimisho hayo yalilenga kutoa shukurani kwa...

read more

Exchange Rates

24-Apr-2018 // TZS

CURRENCY
BUYING SELLING
UK Pound STG3,110.38
3,274.23
Euro EUR

2,724.83

2,868.99
US Dollar USD 2,267.50
2,307.50

Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel: 0657 980000

Email: info@amanabank.co.tz

"O, believers, fear Allah, and give up what is still due to you from the interest (usury) if you are true believers.
(Surah Al Baqarah Verse 278)"