Utambulisho wa Biashara - Kampuni:

 • Kitambulisho cha Taifa / pasi ya kusafiria au leseni hai ya udereva vya wamiliki wa biashara
 • Picha mbili ndogo
 • Azimio la bodi kuruhusu kuwa wakala wa Amana Benki Mtaani
 • Namba ya kulipia kodi (TIN)
 • Leseni ya biashara
 • Taarifa na katiba ya kampuni
 • Urari wa akaunti kwa kipindi kisichopungua miezi 6

Utambulisho wa Biashara - Mtubinafsi:

 • Kitambulisho cha Taifa / pasi ya kusafiria au leseni hai ya udereva
 • Picha mbili ndogo
 • Namba ya kulipia kodi (TIN)
 • Leseni ya biashara
 • Urari wa akaunti kwa kipindi kisichopungua miezi 6

TARIFFS & COMMISSIONS:

Exchange Rates

18-Jan-2019 // TZS

CURRENCY
BUYING SELLING
UK Pound STG2,920.113,074.24
Euro EUR 2,563.59 2,699.51
US Dollar USD 2,287.50 2,367.50
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"O believers, take not doubled and redoubled interest, and fear God so that you may prosper. Fear the fire which has been prepared for those who reject faith, and obey God and the Prophet so that you may receive mercy. (Surah Al ‘Imran, Verses 130-132)"