SIFA

 • Inaendeshwa kwa misingi ya mkataba wa Wadiah
 • Ni akaunti inayofuata misingi ya sharia inayoratibiwa na Bodi ya usimamizi ya Sharia
 • Kiwango cha kufungulia akaunti ni Tsh 100,000 au Dola za kimarekani 100
 • Kiwango cha chini cha kuendeshea akaunti ni Tsh 50,000 au Dola za kimarekani 50
 • Utoaji wa fedha ni kwa njia ya hundi tu
 • Huduma hii inapatikana kwa fedha za Kitanzania na za Kimarekani
 • Taarifa fupi za papo hapo

FAIDA

 • Utanufaika na huduma za uwezeshwaji za benki ya Amana
 • Kadi ya kutolea hela
 • Uwezo wa kuweka na kutoa fedha bila kikomo
 • Uwezo wa kupata fedha zako saa 24, siku 7 za wiki kupitia mashine za ATM za Umoja Switch
 • Utulivu wa nafsi kwani mteja amehifadhi hela zake kwenye benki yenye kufanya shughuli za kihalali
 • Utanufaika na huduma ya benki kulipa fedha kwenye akaunti nyingine kwa kiwango mlichokubaliana kila mwezi
 • Utajipatia kitabu cha hundi kwa haraka
 • Utapatiwa taarifa za akaunti yako bure kila mwezi

VIFAA VYA AKAUNTI

 • Kitabu cha hundi chenye kurasa 50 au 100
 • Huduma ya benki kwa mtandao na ujumbe mfupi wa simu, kwa watu waliojisajili

MAHITAJI YA KUFUNGUA AKAUNTI:

  Mahitaji ya kufungua akaunti ya biashara yanatofautiana kulingana na aina ya biashara ya mteja kama ambavyo inavyofafanuliwa hapa chini:

  1. Biashara ya kushirikiana
  2. Biashara ya mtu binafsi
  3. Biashara ya Kampuni
 • KWA BIASHARA YA KUSHIRIKIANA
  • Barua ya maombi iliyo na majina ya watia sahihi
  • Fomu ya kufungua akaunti iliyojazwa
  • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha TIN
  • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha biashara
  • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha VAT
  • Nakala iliyothibitishwa ya usajili wa biashara
  • Nakala iliyothibitishwa ya hati ya umiliki
  • Nakala iliyothibitishwa ya kitambulisho cha mpiga kura/ leseni mpya ya udereva/ kadi ya utambulisho wa taifa/ kadi ya watia sahihi
  • Picha mbili za saizi ya pasipoti ya watia sahihi
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa serikali ya mitaa/mwajiri wako au risiti ya malipo ya huduma za maji, umeme au simu
 • KWA BIASHARA YA MTU BINAFSI
  • Barua ya maombi iliyo na majina ya watia sahihi
  • Fomu ya kufungua akaunti iliyojazwa
  • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha TIN
  • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha biashara
  • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha VAT
  • Nakala iliyothibitishwa ya usajili wa jina la biashara
  • Nakala kutoka kwa msajili wa kampuni
  • Nakala iliyothibitishwa ya hati ya umiliki
  • Nakala iliyothibitishwa ya kitambulisho cha mpiga kura/ leseni mpya ya udereva/ kadi ya utambulisho wa taifa/ kadi ya watia sahihi
  • Picha moja ya saizi ya pasipoti ya watia sahihi
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa serikali ya mitaa/mwajiri wako au risiti ya malipo ya huduma za maji, umeme au simu
 • KWA BIASHARA YA KAMPUNI
  • Barua ya maombi
  • Fomu ya kufungua akaunti iliyojazwa
  • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha TIN
  • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha biashara
  • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha VAT
  • Nakala iliyothibitishwa ya uhalali wa kampuni husika
  • Nakala iliyothibitishwa ya nyaraka za makubaliano ya kibiashara
  • Hadidu rejea ya kikao kilichopitisha kufunguliwa kwa akaunti
  • Nakala iliyothibitishwa ya kitambulisho cha mpiga kura/ leseni mpya ya udereva/ kadi ya utambulisho wa taifa/ kadi ya watia sahihi
  • Picha moja ya saizi ya pasipoti ya watia sahihi
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa serikali ya mitaa/mwajiri wako au risiti ya malipo ya huduma za maji, umeme au simu
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

18-Dec-2018 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,831.11 2980.70
Euro EUR 2,544.04 2,678.97
Us DollarUSD
2,260.002,340.00
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.
(Surah Al Baqarah Verse 280)"