KWA AKAUNTI YA AMANA YA FEDHA ZA KITANZANIA

  • Kiwango cha chini cha kufungulia akaunti ni Tsh 1,000,000
  • Uwezo wa kuchukua pesa katika muda miezi 3, 6, 9 na 12
  • Faida kubwa

KWA AKAUNTI YA AMANA YA FEDHA ZA KIGENI

  • Inapatikana kwa Dola za Kimarekani peke yake
  • Kiwango cha chini kabisa cha kufungulia akaunti ni Dola za Kimarekani 1,000
  • Uwezo wa kuchukua pesa katika muda miezi 3, 6, 9 na 12
  • Faida kubwa
  • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

18-Dec-2018 // TZS


FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,831.11 2980.70
Euro EUR 2,544.04 2,678.97
Us DollarUSD
2,260.002,340.00
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi."
(Surah Al Baqarah Aya 276)