Amana ya Fedha za Kigeni
Hii ni huduma ya kubadilishana fedha kama vile za Kimarekani na za Kitanzania kwa muda maalumu uliokubaliwa na wahusika. Amana hii inaendeshwa kwa mkataba wa Qardh.
SIFA
- Haina gharama
- Inapunguza hasara zinazojitokeza kwenye ununuaji au uuzwaji wa fedha za kigeni
MAHITAJI
- Ni kati ya benki na taasisi tu
- Makubaliano kati ya wahusika
"Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.
(Surah Al Baqarah Verse 280)"