Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa - SABA SABA 2019

Kwa namna ya pekee zaidi na awamu ya 4 mfululizo Amana Bank imeshiriki Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam maarufu kama SabaSaba. Katika kutekeleza sera ya upatikanaji wa...

read more

Amana Bank Wiki ya Huduma kwa Wateja - 2018

Mnamo tarehe 19/11/2018 kwa furaha kubwa Amana Bank tumesherekea wiki yetu ya Huduma kwa Wateja ambayo kilele chake ilikua ni tarehe 24/11/2018, ambapo pia Amana Bank imetimiza miaka 7 toka...

read more

Amana Bank na Property International Katika Uwezeshaji wa Viwanja

Amana Bank Ltd na Property International Ltd (PIL) inayofuraha kubwa ya kutimiza miaka mitatu ya kufanya biashara pamoja kutimiza ndoto ya watanzania kwa kuwawezesha kumiliki viwanja...

read more

Amana Bank na Uwezeshaji wa Madereva wa Taxify

Amana Bank na TY Services Limited ambayo ni kampuni inayoendesha mtandao wa Taxify hapa Tanzania zimesaini mkataba wa kuwawezesha madereva wa Taxify kumiliki vyombo vya moto (Motor vehicle...

read more

Amana Bank imeanza kutoa huduma kwa wateja kupitia WhatsApp

Amana Benki inaendelea kujivunia kuwa benki ya kwanza Tanzania inayoendeshwa kwa kuzingatia misingi ya kiislamu; yenye malengo ya kutoa huduma za kibenki za kisasa na za kipekee, kwa njia...

read more

Amana Bank na Direct Aid Kuwait kuanza kutoa ufadhili wa masomo na mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu

Amana Bank kwa kushirikiana na Taasisi ya Direct Aid ya Kuwait imeamua kuunga mkono juhudi za serikali na malengo ya Taifa ya sekta ya Elimu kwa kuwasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu hapa Tanzania....

read more

Amana Bank Yazindua Tawi Jipya Mkoani Tanga

Amana Benki imefanikiwa kufungua mlango wa huduma zake katika jiji la Tanga baada ya kuzindua rasmi Tawi jipya Tanga mjini mnamo tarehe tano Agosti 2018. Tawi hili lipo katika jengo la Enkernford...

read more

Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa

Ni Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam maarufu kama SabaSaba na kwa mara nyingine tena, Amana Bank imeshiriki na ikiwa na dhima kuu ya kuonesha bidhaa pamoja na kutoa...

read more

Kongamano la Kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan 2018

Amana Bank kama benki ya kwanza ya kiislamu hapa nchini inajivunia kuwa mdhamini mkuu wa kongamano la kuukaribisha mwezi Mtukufu wa Ramadhan (Welcoming Ramadhan Conference) kwa mwaka 2018. Kwa...

read more

Taarifa kwa Umma

Uongozi wa Amana Bank unapenda kuufahamisha Umma kupuuza taarifa ya uzushi inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Amana Bank imefungwa na kuwa hazina imewaelekeza wakuu wa idara na vitengo...

read more

Exchange Rates

22-Aug-2019 // TZS

CURRENCY
BUYING SELLING
UK Pound STG27212865
Euro EUR 2487 2,619
US Dollar USD 2,275 2,315
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"That which you give as interest to increase the people’s wealth increases not with God; but that which you give in charity, seeking the goodwill of God, multiples manifold.
(Surah Ar Rum, Verse 39)"