SIFA KUU NA FAIDA

 • Inatolewa kwa kuzingatia misingi ya kiislamu kwa kupitia Mkataba wa Murabaha
 • Viwango vya uwezeshwaji kuanzia TZS. 300,000/= Mpaka TZS 4,000,000/=
 • Malipo ni hadi miezi 12
 • Marejesho ni kwa kila wiki kulingana na kiwango alichokubaliana na benki
 • Uwazi kwenye mchakato wa uwezeshwaji


VIGEZO NA MASHARTI:

 • Biashara inayoombewa uwezeshwaji iwe halali kwa mujibu wa sharia ya kiislam
 • Mwanakikundi lazima awe na umri wa miaka 18 au zaidi
 • Mwanakikundi atafunguliwa account binafsi kwa ajili ya malipo
 • Muombaji anapaswa kuambatanisha barua ya utambulisho wa makazi pamoja na vitambulisho vinavyokubalika kiserikali
 • Kikundi hakiruhusiwi kuwa na ndugu wa karibu kama vile watoto na wazazi
 • Muombaji anapaswa kuweka akiba katika akaunti yake binafsi kama dhamana
 • Wanachama wa kikundi wanatakiwa kuishi au kuwa karibu na eneo lao la biashara au makazi
 • Uthibitisho wa kukubaliwa na wanachama wenzake kuchukuwa mkopo
 • Mwanakikundi anapaswa kuhudhuria mafundisho ya awali kabla ya kupatiwa mkopo

Exchange Rates

16-Jul-2019 // TZS

CURRENCY
BUYING SELLING
UK Pound STG2,8102,958
Euro EUR 2,528 2,662
US Dollar USD 2,276 2,316
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"O, believers, fear Allah, and give up what is still due to you from the interest (usury) if you are true believers.
(Surah Al Baqarah Verse 278)"