Tunajivunia kuwa miongoni mwa wadhamini wa mashindano ya kuhifadhi Quran Tukufu kwa Wanawake yaliyoandaliwa na Taasisi ya Ummul-Muuminiina Foundation.
Hakika Quran inaendelea kutufanyia mengi sana katika maisha yetu ya kila siku.
Tuendelee kuhimizana kwa sote kubenki kwa kuzingatia na kufuata misingi kamili na sharia za dini ya Kiislam katika miamala yetu na kwa watu wote.