Amana Bank kuwaaga Mahujaji wa taasisi ya Al Safaa
Posted on: Oct 29, 19 | News
Mnamo 2/8/2019,Meneja huduma kwa wateja Bi.Sophia Mageni mapema alipotembelea moja ya ofisi inayojishughulisha na kusafirisha mahujaji taasisi ya Al Safaa kwaajili ya kuwaaga mahujaji na kuwatakia safari njema ya kwenda Hijja.