Mnamo 24/7/2019,Wafanyakazi wa Amana Bank meneja huduma kwa wateja Bi.Sophia Mageni na meneja tawi la Amana Bank-Nyerere Bi.Aisha Awadhi walipofika katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa JNIA, kuzungumza na kuwaaga mahujaji wa taasisi ya Labbaik kwa kuwatakia safari njema ya kwenda ibada ya Hijja.