Mnamo 31/7/2019, Meneja huduma kwa wateja Bi.Sophia Mageni na meneja wa tawi la Amana Bank-Tandamti Bw.Juma Yamilinga mapema walipotembelea moja ya ofisi inayojishughulisha na kusafirisha mahujaji taasisi ya Tawheed kwaajili ya kuwaaga mahujaji na kuwatakia safari njema ya kwenda Hijja.
Meneja tawi la Amana Bank-Tandamti Bw.Juma Yamilinga akikabidhi zawadi kwa mahujaji wa taasisi ya Tawheed
Meneja huduma kwa wateja Bi.Sophia Mageni katika picha ya pamoja na mahajati wa taasisi ya Tawheed.