Search Open Account Branches Zakat Calculator Amana Bank Mtaani Facebook Instagram Linkedin Twitter

 

Amana Bank na Uwezeshaji wa Madereva wa Taxify

Posted on: Nov 13, 18 | News

Amana Bank na TY Services Limited ambayo ni kampuni inayoendesha mtandao wa Taxify hapa Tanzania zimesaini mkataba wa kuwawezesha madereva wa Taxify kumiliki vyombo vya moto (Motor vehicle Financing Scheme). Lengo letu ni kuboresha usafiri na kuwaongezea madereva kipato kwa kuwawezesha kumiliki vyombo vya moto.

Benki itazingatia vigezo mbalimbali katika kutoa uwezeshaji huu ikiwemo dereva kuwa na uzoefu wa kutosha na rekodi nzuri.

Ni matarajio yetu maderava wa Taxfy watashangamkia fursa hii ili kuweza kumiliki vyombo vyao vya usafiri na kujiongezea kipato.

 

Meneja Kitengo Cha Biashara Amana Benki Bw. Dassu Mussa na Meneja wa Taxify Tanzania Bw. Remmy Eseke wakisaini na kubadilishana makubaliano baina ya pande hizo mbili.

 

 

x

Download Amana Bank App here →
appstore playstore