Amana Bank tunajivunia kudhamini mashindano ya kuhifadhi Quran Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Aisha Sururu Foundation
Posted on: Apr 25, 23 | News
Amana Bank ikiwa ni benki pekee ya inayoendesha mfumo wake kwa kuzingatia kanuni na taratibu za mfumo wa kiislamu, na uislamu ndiyo huu kwa kuthamini na kudhamini vijana wetu katika kujifunza Quran yetu Tukufu.