Kongamano la Kimataifa la Reforming Generations 2024
Posted on: Sep 20, 24 | News
Katika kuunga mkono Jamii, hasa katika kuhakikisha maadili na mabadiliko chanya, Amana bank tunafuraha ya kuwa miongoni mwa Wadhamini wa kongamano la kimataifa la Reforming Generations 2024, lililo andaliwa na The Islamic Foundation.