Search Open Account Branches Zakat Calculator Amana Bank Mtaani Facebook Instagram Linkedin Twitter

 

Uzinduzi Rasmi wa tawi la Amana Bank Zaznibar

Posted on: Nov 01, 19 | News

Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi katika picha ya pamoja na mmoja kati ya wakurugenzi wa Amana Bank ndugu Salum Shamte, Mkurugenzi Mtendaji Dr. Muhsin Masoud sambamba na wafanyakazi wa Amana Bank tawi la Zanzibar.

Mgeni rasmi katika ufunguzi Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi,alipowasili na kukaribishwa Mkurugenzi Mtendaji wa Amana Bank Dr. Muhsin Masoud katika hafla ya uzinduzi wa tawi la Amana Bank Zanzibar lililopo Malindi,Darajani
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi tawi la Amana Bank Zanzibar kwa ishara ya kukata utepe
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na wageni waliohudhuria katika hafla ya ufunguzi wa tawi la Amana Bank Zaznibar
Mkurugenzi Amana Bank ndugu Salum Shamte akizungumza na wageni waliohudhuria katika hafla ya ufunguzi wa tawi la Amana Bank Zaznibar 
Mkurugenzi Mtendaji wa Amana Bank Dr. Muhsin Masoud na mmoja kati ya wakurugenzi wa Amana Bank Ndugu Salum Shamte
wakikabidhi zawadi kwa mgeni rasmi Mhe.Balozi Seif Ali Iddi baada ya ufunguzi wa tawi la Amana Bank Zanzibar.
Katika picha:Walioketi kutokea kulia ni Dr. Abdallah Mabodi Naibu katibu mkuu CCM Zanzibar, Dr. Muhsin Masoud Mkurugenzi mtendaji Amana Bank, Mh. Balozi Mohammed Ramia Waziri wa fedha Zanzibar,Mh. Balozi Seif Ali Iddi Makamo wa pili wa Rais Zanzibar,Mwenyekiti Bodi ya wakurugenzi Amana Bank Mr. Shamte, Mh. Mohamed Aboud Waziri wa nchi ofisi ya makamo wa pili wa rais na mh Marina Joel Mkuu wa Mkoa wa mjini Zanzibar.

Walio simama kutokea kulia ni: Director Andrew Demello, Director Dr. Mohamed Hafidh, Shareholder Mr. Nasser Sheikh, General Manager Commercial Amana Bank Mr. Saidi Mbaruku, General Manager Support & Controls Amana Bank Mr. Muhidin Ally, General Manager Product Development and Sharia Amana Bank Mr. Muhsin Mohamed and Head of Marketing & Communications Amana Bank Mr. Dassu Mussa

 

 

 

 

x

Download Amana Bank App here →
appstore playstore