SIFA

 • Akaunti hii inaendeshwa kwa makubaliano ya mudharaba
 • Kiwango cha kufungulia akaunti ni Tsh 10,000 au Dola za kimarekani 100
 • Kiwango cha chini kabisa cha kuendeshea akaunti ni Tsh 10,000/ au Dola za kimarekani 100
 • Kiwango cha chini kuweza kupata gawio la faida kwa siku ni Tsh 100,000 au Dola za kimarekani 1000
 • Kadi ya ATM
 • Taarifa za papo hapo kupitia ujumbe mfupi

FAIDA

 • Rahisi kufungua na kuiendesha
 • Faida kubwa iliyo halali
 • Huduma za kibenki zilizo faragha pasi na karaha
 • Mteja atapewa huduma na watunza fedha maalum kutoka matawi yetu yote
 • Uwezo wa kutoa pesa muda wowote kupitia mashine za ATM za Umoja Switch
 • Huduma bure ya kuhamisha fedha kutoka akaunti moja kwenda nyingine
 • Tozo dogo la kufanya muamala.
 • Hakuna gharama za kutoa fedha ndani ya benki
 • Taarifa fupi za akaunti kupitia mashine ya ATM

MAHITAJI YA KUFUNGUA AKAUNTI

  Mteja anaweza akawa ni mtu binafsi ama mfanyakazi

 • Picha moja ya saizi ya pasipoti ya muombaji
 • Nakala ya kitambulisho cha taifa/hati ya kusafiria, kitambulisho cha mpiga kura/ leseni mpya ya udereva
 • Barua ya utambulisho kutoka kwa serikali ya mtaa, mwajiri/ wakili/ au mteja wa benki/ mfanyakazi wa benki/ hati ya kuishi ama kufanya kazi nchini
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

18-Apr-2019 // TZS

undefined

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,930.09 3,084.74
Euro EUR 2,536.79 2,671.35
Us DollarUSD
2,268.502,328.50
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi."
(Surah Al Baqarah Aya 276)