SIFA ZAKE

 • Akaunti hii inaendeshwa kwa misingi ya makubaliano ya Mudharaba
 • Kiwango cha chini kabisa cha kufungulia akaunti ni Tsh 20,000 au Dola za Kimarekani 100
 • Kiwango cha chini kabisa cha kuendesha akaunti ni Tsh 10,000 au Dola za Kimarekani 100
 • Upatikanaji wa faida kubwa, kwa wastani siku moja waweza kupata Tsh 100,000 au Dola za Kimarekani 1000
 • Huduma hii inapatikana kwa fedha za Kitanzania au dola za Kimarekani
 • Pesa kidogo huhitajika kuendesha akaunti kwa mwezi
 • Utapata huduma za kibenki mtandaoni na kupitia simu yako ya mkononi
 • Ujumbe mfupi kutaarifu huduma za kifedha zilizofanyika

FAIDA ZAKE

 • Rahisi kufungua na kuendesha
 • Faida kubwa za kihalali
 • Uwezo wa kupata huduma bila kikomo kutoka kwa watunza fedha wetu
 • Wepesi wa kutoa fedha kupitia mshine za ATM za Umoja Switch
 • Uhamishaji wa fedha bure kutoka kwenye akaunti moja kwenda nyingine zilizopo kwenye benki
 • Kadi ya ATM ya binafsi
 • Uwezo wa kupata huduma za kibenki saa 24 kupitia mtandao wa ATM.
 • Taarifa fupi ya akaunti yako kupitia mashine ya ATM
 • Utapata taarifa ya mwaka bure ya akaunti yako
 • Kiwango kidogo cha fedha cha kuendesha akaunti

MAHITAJI YA KUFUNGUA AKAUNTI:

 • Picha moja saizi ya pasipoti
 • Nakala ya utambulisho kama vile leseni mpya ya udereva, kitambulisho cha mpiga kura au Hati ya kusafiria
 • Barua ya utambulisho kutoka kwenye serikali za mitaa au risiti za malipo (Malipo ya huduma za maji au umeme) zilizo na jina la muombaji
 • Kwa wasio raia wa Tanzania, hati ya kuishi ama kufanya kazi Tanzania
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

22-Aug-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,721 2,865
Euro EUR 2,487 2,619
Us DollarUSD
2,2752,315
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na acheni riba zilizo bakia, ikiwa nyinyi ni Waumini.
(Surah Al Baqarah Aya 278)"