SIFA

 • Imeidhinishwa na Bodi ya Usimamizi wa Sharia
 • Ni hiyari kujiunga na kuijitoa.
 • Uwazi.
 • Kikokotozi cha kiasi cha Zakat (Bofya Hapa).
 • Hakuna makato.
 • Inapatikana kwa TZS, na aina nyengine ya fedha za kigeni.
 • Ugawaji utakuwa katika utaratibu unaokubaliwa na Sharia.
 • Unaweza kufanya malipo ya Zakat yako kupitia matawi yetu, mawakala wetu, kwa njia ya simu (Mobile Banking), Kwa njia ya mtandao (Internet Banking) au kuhamisha fedha kutoka kwenye Akauti yako Amana Bank (internal transfer) kwenda kwenye Akaunti maalum ya Zakat 002110475520001


FAIDA

 • Rahisi na haraka kujiunga.
 • Utulivu wa nafsi kwa kutimiza kitendo muhimu cha ibada.
 • Utakaso wa moyo dhidi ya uchoyo na ulafi wa mali.
 • Taarifa ya mwaka kwa mteja ambaye ameiteua Amana Bank kukusanya Zakat.
 • Kusaidia mahitaji ya maskini
 • Kusaidia jamii ya waislamu kutimiza moja ya nguzo za Uislam.


 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

19-Jun-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,817 2,966
Euro EUR 2,510 2,643
Us DollarUSD
2,2712,331
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

Na kuchukua kwao riba, nao wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma. Basi tumewaandalia makafiri katika wao adhabu yenye uchungu.
(Surah al-Nisa', Aya161)