SIFA

 • Akaunti hii itaendeshwa kwa misingi ya makubaliano ya mudharaba na hivyo benki ina haki ya kuwekeza pesa za mwekezaji kwenye shuguli yoyote ile
 • Kiwango cha chini cha kufungulia akaunti ni Tsh 10,000 au Dola za kimarekani 50.
 • Kiwango cha chini cha kuendeshea akaunti ni 10,000 au Dola za kimarekani 50
 • Kiwango cha chini kuweza kupata gawio la faida kwa siku ni Tsh 100,000 au Dola za kimarekani 1000
 • Mteja haruhusiwi kutoa fedha
 • Mteja anaruhusiwa kutoa fedha mara moja kwa mwaka
 • Taarifa za papo hapo kupitia ujumbe mfupi

FAIDA

 • Rahisi kuifungua na kuiendesha
 • Mpango wa uwekezaji usio na usumbufu wa aina yoyote ile
 • Kiwango kikubwa cha faida kwa mteja
 • Mteja atapata viwango vizuri vya mauzo na manunuzi ya fedha za kigeni
 • Huduma bure ya kuhamisha fedha kutoka akaunti moja kwenda nyingine
 • Inatimiza ndoto ya mteja kwenda Hija
 • Mteja anaweza kutoa maelekezo ya malipo kwenye akaunti atakayotaka yeye kwa kiwango kilichokubaliwa kabla
 • Mteja atapata taarifa fupi za akaunti
 • Taarifa fupi kuhusu mwaka wa Hijja

MAHITAJI YA KUFUNGUA AKAUNTI:

  Mteja anaweza akawa ni mtu binafsi ama mfanyakazi

 • Picha moja ya saizi ya pasipoti ya muombaji
 • Nakala ya kitambulisho cha taifa/hati ya kusafiria, kitambulisho cha mpiga kura/ leseni mpya ya udereva
 • Barua ya utambulisho kutoka kwa serikali ya mtaa, mwajiri/ wakili/ au mteja wa benki/ mfanyakazi wa benki
 • Hati ya kuishi ama kufanya kazi nchini
 • Ni lazima mteja awe na akaunti ya Hijja
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

19-Jun-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,817 2,966
Euro EUR 2,510 2,643
Us DollarUSD
2,2712,331
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na acheni riba zilizo bakia, ikiwa nyinyi ni Waumini.
(Surah Al Baqarah Aya 278)"