SIFA ZAKE

 • Inakuwezesha kupata huduma ya ‘Salary Advance’ (kupata mshahara kabla ya tarehe husika)
 • Inaendeshwa kwa makubaliano ya mudharaba yasiyokuwa na udhibiti wa mteja
 • Huduma hii inapatikana kwa fedha za Kitanzania tu
 • Hakuna kiwango cha chini cha kufungulia akaunti
 • Gharama za uendeshaji wa akaunti Tsh 1,500
 • Kiwango cha wastani kinachotakiwa ili upate mgao wa faida ni 100,000/-
 • Mteja haruhusiwi kutoa kiwango cha pesa zaidi ya salio lililopo kwenye akaunti yake.
 • Hakuna tozo la kiwango cha chini ya salio

FAIDA ZAKE

 • Utulivu wa nafsi kwani mteja amehifadhi hela zake kwenye benki yenye kufanya shughuli za kihalali
 • Kiwango kidogo cha salio la akaunti
 • Faida kubwa iliyopatikana kihalali
 • Uwezo wa kupata huduma bila kikomo kutoka kwa watunza fedha wetu
 • Kadi ya ATM
 • Uwezo wa kupata taarifa fupi za akaunti yako kupitia mashine za ATM
 • Kiwango kidogo cha ufunguaji na uendeshaji wa akaunti
 • Utapata taarifa kupitia ujumbe mfupi endapo mishahara imeingizwa.
 • Uhamishwaji haraka wa fedha kutoka akaunti moja kwenda nyingine kwenye benki
 • Utapata taarifa za akaunti yako ya kila mwaka

MAHITAJI YA KUFUNGUA AKAUNTI:

 • Picha moja ya saizi ya pasipoti ya muombaji
 • Nakala ya kitambulisho cha taifa/hati ya kusafiria, kitambulisho cha mpiga kura/ leseni mpya ya udereva
 • Barua ya utambulisho kutoka kwa serikali ya mtaa, mwajiri/ wakili/ au mteja wa benki/ mfanyakazi wa benki
 • Hati ya kuishi ama kufanya kazi nchini
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

19-Jun-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,817 2,966
Euro EUR 2,510 2,643
Us DollarUSD
2,2712,331
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na acheni riba zilizo bakia, ikiwa nyinyi ni Waumini.
(Surah Al Baqarah Aya 278)"