SIFA

 • Akaunti hii inaendeshwa kwa makubaliano ya mudharaba
 • Kiwango cha chini cha kufungulia akaunti ni Tsh 1,000,000 au Dola za kimarekani 1,000
 • Muda wa uwekezaji ni siku 90, 180 na 360
 • Udhibiti kwenye utoaji wa fedha
 • Makubaliano ya mgao wa faida uliojadiliwa kabla
 • Hakuna tozo la kodi kwa faida atakayolipwa mteja
 • Inapatikana kwa fedha za Kitanzania na Kimarekani
 • Taarifa za papo hapo kupitia ujumbe mfupi

FAIDA

 • Rahisi kufungua na kuwekeza
 • Malipo yenye faida kubwa
 • Utulivu wa nafsi kwani mteja amehifadhi hela zake kwenye benki yenye kufanya shughuli za kihalali
 • Wigo mpana wa kuchagua muda wa kuchukua fedha zako
 • Utapata taarifa fupi za akaunti kupitia mtandao
 • Huduma bure ya kuhamisha fedha kutoka akaunti moja kwenda nyingine

MAHITAJI YA KUFUNGUA AKAUNTI:

 • Picha moja ya saizi ya pasipoti ya muombaji
 • Nakala ya kitambulisho cha taifa/hati ya kusafiria, kitambulisho cha mpiga kura/ leseni mpya ya udereva
 • Barua ya utambulisho kutoka kwa serikali ya mtaa, mwajiri/ wakili/ au mteja wa benki/ mfanyakazi wa benki/ hati ya kuishi ama kufanya kazi nchini
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

22-Aug-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,721 2,865
Euro EUR 2,487 2,619
Us DollarUSD
2,2752,315
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi."
(Surah Al Baqarah Aya 276)