SIFA

 • Akaunti hii inaendeshwa kwa misingi ya makubaliano ya Mudharaba yasiyokuwa na udhibiti wa mteja
 • Kiwango cha chini kabisa cha kufungulia ni Tsh 10,000 au Dola za Kimarekani 50
 • Kiwango cha chini kabisa cha kuendesha akaunti ni Tsh 10,000 au Dola za Kimarekani 50
 • Kiwango cha chini kuweza kupata gawio la faida kwa siku ni Tsh 100,000 au Dola za kimarekani 1000
 • Mteja anaweza akatoa fedha mara nne kwa mwaka
 • Hakuna gharama za uendeshaji wa akaunti.
 • Ujumbe mfupi wa papo hapo kutaarifu muamala uliofanyika

FAIDA ZAKE

 • Rahisi kufungua na kuendesha
 • Faida kubwa za kihalali
 • Uwezo wa kupanga mikakati ya kiuwezeshaji kwa ajili ya watoto wako
 • Utapata bure taarifa fupi ya akaunti yako
 • Hakuna gharama zilizojificha

MAHITAJI YA KUFUNGUA AKAUNTI:

 • Picha moja ya saizi ya pasipoti ya mzazi au mlezi
 • Picha moja ya saizi ya pasipoti ya mtoto
 • Nakala ya cheti cha kuzaliwa
 • Nakala ya kitambulisho cha taifa/hati ya kusafiria, kitambulisho cha mpiga kura/ leseni ya udereva
 • Barua ya kumtambulisha mzazi au mlezi au risiti za malipo za huduma za maji au umeme zenye jina la mzazi au mlezi
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

18-Apr-2019 // TZS

undefined

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,930.09 3,084.74
Euro EUR 2,536.79 2,671.35
Us DollarUSD
2,268.502,328.50
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na acheni riba zilizo bakia, ikiwa nyinyi ni Waumini.
(Surah Al Baqarah Aya 278)"