SIFA

 • Akaunti hii inaendeshwa kwa makubaliano ya mudharaba yasiyothibitiwa na mteja
 • Inapatikana kwa fedha za Kitanzania
 • Kiwango cha kufungulia akaunti ni Tsh 10,000
 • Hakuna gharama za kuendesha akaunti
 • Kiwango cha wastani kinachotakiwa ili upate mgao wa faida ni 100,000/
 • Hakuna gharama inayotozwa kwa kuwa na salio dogo
 • Hakuna gharama za mwezi
 • Hakuna gharama za kutoa fedha ndani ya benki
 • Endapo mwanafunzi atamaliza masomo yake, akaunti yake itabadilishwa na kuwa ya kawaida.

FAIDA

 • Utulivu wa nafsi kwani mteja amehifadhi hela zake kwenye benki yenye kufanya shughuli za kihalali
 • Kiwango kidogo cha ufunguaji na uendeshaji wa akaunti
 • Faida kubwa iliyopatikana kihalali
 • Utapata kadi ya ATM
 • Uwezo wa kupata taarifa fupi za akaunti kupitia mashine za ATM
 • Uwezo wa kuhamisha fedha kutoka akaunti moja kwenda nyingine
 • Uwezo wa kuulizia salio
 • Taarifa za akaunti kila mwaka
 • Rahisi kufungua na kuendesha
 • Uwezo wa kuhudumiwa na watunza fedha wetu bila ukomo
 • Utaweza kuhifadhi na kuweka pesa kupitia Amana Bank Mtaani, Mpesa, Tigo Pesa na Airtel Money

MAHITAJI YA KUFUNGUA AKAUNTI:

 • Barua ya kuitwa chuoni
 • Barua ya utambulisho kutoka shuleni, ama taasisi ya elimu au chuo anachosoma mteja
 • Kitambulisho cha mwanafunzi kutoka shule anayosoma au chuo.
 • Picha mbili za pasipoti.
 • Kiwango cha kufungulia akaunti ni 10,000


Bofya Hapa ili kufahamu namna ya kupata uwezeshwaji kupitia bidhaa yetu ya Elimu Financing

 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

22-Aug-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,721 2,865
Euro EUR 2,487 2,619
Us DollarUSD
2,2752,315
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi."
(Surah Al Baqarah Aya 276)