SIFA

 • Akaunti hii itaendeshwa kwa mujibu wa mkataba wa Qardh
 • Kiwango cha kufungulia ni Tsh 100,000 au Dola za Kimarekani 100
 • Kiwango cha chini kabisa kubaki kwenye akaunti husika ni Tsh 50,000 au Dola za Kimarekani 50
 • Kitabu cha hundi
 • Huduma hii inapatikana kwa fedha za Kitanzania na Kimarekani
 • Taarifa za papo hapo kupitia ujumbe mfupi

FAIDA

 • Rahisi kufungua na kuiendesha
 • Huduma bure ya kuhamisha fedha kutoka akaunti moja kwenda nyingine
 • Uwezo wa kutoa pesa muda wowote kupitia mashine za ATM za Umoja Switch
 • Mteja atapata bure taarifa za akaunti yake kila mwezi
 • Uwezo wa kupata huduma za kibenki kupitia mtandao
 • Atapata huduma ya kuulizia salio bure
 • Utulivu wa nafsi kwani mteja amehifadhi hela zake kwenye benki yenye kufanya shughuli za kihalali
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

22-Aug-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,721 2,865
Euro EUR 2,487 2,619
Us DollarUSD
2,2752,315
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

Na kuchukua kwao riba, nao wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma. Basi tumewaandalia makafiri katika wao adhabu yenye uchungu.
(Surah al-Nisa', Aya161)