SIFA

 • Inaendeshwa kwa mkataba wa Qardh
 • Inafuata misingi ya Kisharia chini ya usimamizi wa Bodi ya Sharia
 • Kiwango cha kufungulia akaunti ni Tsh 100,000 au Dola za Kimarekani 100
 • Kiwango cha chini kabisa cha kuendesha akaunti ni Tsh 50,000 au Dola za Kimarekani 50
 • Utoaji wa fedha ni kwa kupitia hundi tu
 • Inapatikana kwa fedha za Kitanzania au Kimarekani
 • Utapata taarifa za papo hapo kupitia ujumbe mfupi wa simu

FAIDA

 • Uwezo wa kutoa na kuweka kiwango chochote kile cha fedha
 • Utulivu wa nafsi kwani mteja amehifadhi hela zake kwenye benki inayofanya shughuli za kihalali
 • Taarifa za akaunti bure kila mwezi
 • Mteja anaweza kutoa maelekezo ya malipo kwenye akaunti atakayotaka yeye kwa kiwango kilichokubaliwa kabla
 • Mteja atapata haraka kitabu cha hundi
 • Atapata huduma za kibenki kupitia mtandao au ujumbe mfupi
 • Atapata huduma za kibenki zilizopewa kipaumbele

TOZO NA MALIPO

MAHITAJI:

 • Barua ya maombi
 • Fomu ya kufungua akaunti ambayo imeshajazwa
 • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha usajili
 • Nakala iliyothibitishwa ya katiba ya bodi ya uongozi
 • Maamuzi ya bodi ya uongozi kupitisha kufunguliwa kwa akaunti ikiwa na majina ya watia sahihi wote
 • Nakala iliyothibitishwa ya kitambulisho cha mpiga kura/ hati ya kusafiria/ leseni mpya ya udereva/ kitambulisho cha taifa cha watia sahihi wote
 • Picha ya hivi karibuni ya pasipoti ya watia sahihi
 • Barua ya utambulisho kutoka kwa serikali ya mtaa/ mwajiri/ wakili ama mteja wa benki ya Amana
 • Risiti za malipo za watia sahihi
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

18-Apr-2019 // TZS

undefined

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,930.09 3,084.74
Euro EUR 2,536.79 2,671.35
Us DollarUSD
2,268.502,328.50
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.
(Surah Al Baqarah Verse 280)"