SIFA

 • Inapatikana kwa Shilingi za Kitanzania, Dola za Kimarekani, Pauni ya Uingereza na Yuro
 • Kiwango cha kufungulia akaunti ni Tsh 100,000 au USD/EURO/GBP 100
 • Hakuna kiwango cha chini cha kuendeshea akaunti
 • Hiari ya kupatiwa kitabu cha hundi
 • Hakuna gharama za mwezi
 • Hakuna kiwango cha chini cha salio
 • Hakuna tozo ya kutoa fedha

FAIDA

 • Utulivu wa nafsi kwani mteja amehifadhi hela zake kwenye benki yenye kufanya shughuli za kihalali
 • Rahisi kufungua na kuiendesha
 • Utapata taarifa za akaunti kupitia mtandao
 • Uhamishaji bure wa fedha kutoka akaunti moja kwenda nyingine
 • Uwezo wa kufanya miamala kupitia watunza fedha wetu bila kikomo
 • Utapatiwa taarifa za akaunti yako bure kila mwezi
 • Viwango vizuri vya kuuza na kununua fedha za kigeni
 • Mtu maalumu kwa ajili ya asasi husika

MAHITAJI YA KUFUNGUA AKAUNTI:

 • Fomu za kufungulia akaunti ambazo zimeshajazwa
 • Vitambulisho vya utaifa/ Hati ya kusafiria na leseni za udereva za watia sahihi wote
 • Uthibitisho wa nyaraka wa anuani za makazi za watia sahihi wote
 • Picha moja ya saizi ya pasipoti ya watia sahihi wote
 • Cheti cha usajili kutoka kwa wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA) au nakala ya katiba ya asasi
 • Uthibitisho wa nyaraka wa anuani ya ofisi ya asasi yaani nakala ya mkataba wa kupanga
 • Hadidu rejea ya kikao kilichopitisha kufunguliwa kwa akaunti
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

22-Aug-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,721 2,865
Euro EUR 2,487 2,619
Us DollarUSD
2,2752,315
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi."
(Surah Al Baqarah Aya 276)