SIFA

 • Akaunti hii inaendeshwa kwa mkataba wa Qardh
 • Ni akaunti inayofuata misingi ya sharia inayoratibiwa na bodi ya usimamizi ya sharia nchini
 • Kiwango cha kufungulia akaunti ni Tsh 100,000 au Dola za Kimarekani 500
 • Kiwango cha chini cha salio ni Tsh 50,000 au Dola za Kimarekani 200
 • Kutoa fedha ni kwa kupitia hundi tu
 • Taarifa za papo hapo kupitia ujumbe mfupi

FAIDA

 • Utulivu wa nafsi kwani mteja amehifadhi hela zake kwenye benki yenye kufanya shuguli za kihalali
 • Uwezo wa kupata mikopo mbalimbali
 • Huduma ya wateja iliyotukuka
 • Uwezo wa kuweka na kutoa kiwango chochote cha fedha
 • Utapatiwa taarifa za akaunti yako bure kila mwezi
 • Utapewa haraka kitabu cha hundi
 • Uwezo wa kupata huduma za kibenki kupitia mtandao na simu
 • Access to Internet and SMS Banking

VIFAA VYA AKAUNTI

 • Kadi ya ATM ya Umoja Switch
 • Kitabu cha Hundi
 • Huduma za kibenki kupitia mtandao

MAHITAJI YA KUFUNGUA AKAUNTI:

 • Barua ya maombi
 • Fomu iliyojazwa ya kufungua akaunti Amana Bank
 • Nakala ya leseni ya biashara iliyothibitishwa
 • Kwa makampuni ya umma, nakala ya kufanya biashara iliyothibitishwa
 • Nakala iliyothibitishwa ya cheti cha TIN
 • Nakala iliyothibitishwa ya usajili wa VAT
 • Nakala iliyothibitishwa ya uhalali wa kampuni husika
 • Nakala iliyothibitishwa ya nyaraka za makubaliano ya kibiashara
 • Hadidu rejea ya kikao cha bodi kilichopitisha kufunguliwa kwa akaunti ikiambatana na majina ya watia sahihi waliopitishwa
 • Risiti ya malipo ya huduma za maji, umeme au simu
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

19-Jun-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,817 2,966
Euro EUR 2,510 2,643
Us DollarUSD
2,2712,331
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.
(Surah Al Baqarah Verse 280)"