MISINGI YETU MIKUU

Misingi yetu mikuu ni miongozo mbalimbali ambayo inaongoza maamuzi na matendo ya wafanyakazi wa benki ya Amana katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.

  • Maadili – tunafuata kanuni na misingi ya kisharia
  • Weledi – tunatekeleza wajibu wetu kwa kutumia weledi wa hali ya juu, uwajibikaji na kwa uchangamfu.
  • Uwazi – - shuguli zetu zinaendeshwa bila ya kuwepo na ajenda zilizojificha ndani yake. Tunajitahidi kadri ya uwezo wetu kutoa taarifa muhimu kwa mteja wetu ili aweze kufanya maamuzi yaliyo sahihi.
  • Kujiamini – tuna imani na uwezo wetu wa kuifanya kazi na tunaendesha shuguli zetu kwa kusimamia misingi ya kazi.
  • Mapokezi mazuri – ni rahisi kuongea nasi na tunatoa msaada kwa wateja wetu, wafanyakazi wetu, jamii tunayotumikia na wadau wetu wengine.
  • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

19-Jun-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,817 2,966
Euro EUR 2,510 2,643
Us DollarUSD
2,2712,331
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

Na kuchukua kwao riba, nao wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma. Basi tumewaandalia makafiri katika wao adhabu yenye uchungu.
(Surah al-Nisa', Aya161)