Nini cha kutaarifu

Ili utusaidie kufanikisha malengo yetu kama yalivyoainishwa kwenye aya iliyopita, tumeanzisha mfumo wa kutoa ripoti tunaouita Whistleblower unaowawezesha wafanyakazi wetu na wadau wengine kutoa taarifa kuhusiana na utata unaoweza kujitokeza kwenye hesabu za benki ya Amana; masualaa ya ukaguzi wa hesabu za benki; ukiukwaji wa maadili ya kikazi au kibiashara; ukiukwaji wa uadilifu na utaalam ama shutuma za kisasi kwa mtu aliyetoa taarifa ya kufanyika vitendo viovu.

Whistleblower ni mfumo wa kutoa taarifa kuhusu hofu yoyote uliyokuwa nayo juu ya masuala ya kifedha na kimaadili unaojitegemea, wa siri na usiokulazimu kutoa taarifa zako binafsi [labda kama inatakiwa kisheria]. Wananchi wa kawaida wenye taarifa za uhakika au tetesi kuhusu ukiukwaji wa kimaadili, kisheria na kikanuni pia wanaruhusiwa kutoa taarifa kupitia kiunganishi cha Whistleblower.
  • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

19-Jun-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,817 2,966
Euro EUR 2,510 2,643
Us DollarUSD
2,2712,331
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.
(Surah Al Baqarah Verse 280)"