Amana Bank Wiki ya Huduma kwa Wateja - 2018

Mnamo tarehe 19/11/2018 kwa furaha kubwa Amana Bank tumesherekea wiki yetu ya Huduma kwa Wateja ambayo kilele chake ilikua ni tarehe 24/11/2018, ambapo pia Amana Bank imetimiza miaka 7 toka...

read more

Amana Bank na Property International Katika Uwezeshaji wa Viwanja

Amana Bank Ltd na Property International Ltd (PIL) inayofuraha kubwa ya kutimiza miaka mitatu ya kufanya biashara pamoja kutimiza ndoto ya watanzania kwa kuwawezesha kumiliki viwanja...

read more

Amana Bank na Uwezeshaji wa Madereva wa Taxify

Amana Bank na TY Services Limited ambayo ni kampuni inayoendesha mtandao wa Taxify hapa Tanzania zimesaini mkataba wa kuwawezesha madereva wa Taxify kumiliki vyombo vya moto (Motor vehicle...

read more

Amana Bank imeanza kutoa huduma kwa wateja kupitia WhatsApp

Amana Benki inaendelea kujivunia kuwa benki ya kwanza Tanzania inayoendeshwa kwa kuzingatia misingi ya kiislamu; yenye malengo ya kutoa huduma za kibenki za kisasa na za kipekee, kwa njia...

read more

Amana Bank na Direct Aid Kuwait kuanza kutoa ufadhili wa masomo na mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu

Amana Bank kwa kushirikiana na Taasisi ya Direct Aid ya Kuwait imeamua kuunga mkono juhudi za serikali na malengo ya Taifa ya sekta ya Elimu kwa kuwasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu hapa Tanzania....

read more

Amana Bank Yazindua Tawi Jipya Mkoani Tanga

Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Tawi la Tanga, Waziri wa Fedha na Mipango Dr.Philip Mpango (katikati) katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ndugu Abdallah Nahdi naMkurugenzi...

read more

Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa

Ni Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam maarufu kama SabaSaba na kwa mara nyingine tena, Amana Bank imeshiriki na ikiwa na dhima kuu ya kuonesha bidhaa pamoja na kutoa...

read more

Kongamano la Kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan 2018

Amana Bank kama benki ya kwanza ya kiislamu hapa nchini inajivunia kuwa mdhamini mkuu wa kongamano la kuukaribisha mwezi Mtukufu wa Ramadhan (Welcoming Ramadhan Conference) kwa mwaka 2018. Kwa...

read more

Taarifa kwa Umma

Uongozi wa Amana Bank unapenda kuufahamisha Umma kupuuza taarifa ya uzushi inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Amana Bank imefungwa na kuwa hazina imewaelekeza wakuu wa idara na vitengo...

read more

Ushiriki wa Amana Bank katika Tamasha na Semina ya Viongozi Kirinjiko

Amana Bank ilipata fursa ya kushiriki na kuwasilisha mada katika Tamasha na Semina ya Viongozi iliyoandaliwa na kamati ya kuendeleza Uislamu Tanzania iliyofanyika Kirinjiko wilayani Same,...

read more
  • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

19-Jun-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,817 2,966
Euro EUR 2,510 2,643
Us DollarUSD
2,2712,331
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.
(Surah Al Baqarah Verse 280)"