Kuwa mwajiriwa wa Benki ya Amana

Endapo utaajiriwa na benki ya Amana, sio kwamba tu utapata fursa ya kufanya kazi kwenye sekta ya benki lakini pia utakuwa umeajiriwa na shirika ambalo limedhamiria kuendeleza huduma za kibenki kwa misingi ya Kiislamu nchini na kuifanya iwe moja ya mifumo ya kibenki ya Kiislamu iliyopiga hatua kubwa za maendeleo duniani.

Ikiwa inaendelea kukua kwa kasi kubwa, tunatambua umuhimu wa kuwa na wafanyakazi wenye weledi na uzoefu. Kwenye suala la kukuza uzoefu wako wa kazi, benki ya Amana inatoa nafasi nzuri za ajira, fursa mbalimbali pamoja na malipo mazuri.

Njoo ujiunge nasi – “Pamoja kwenye njia iliyo sahihi”


Nafasi Zilizopo kwa Sasa

Collections and Recoveries Manager - Bofya Hapa Kuomba

  • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

19-Jun-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,817 2,966
Euro EUR 2,510 2,643
Us DollarUSD
2,2712,331
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.
(Surah Al Baqarah Verse 280)"