Aina Ya Udhamini wa Kibenki Tunatoa:

  • Dhamana endapo makubaliano ya utekelezwaji wa zabuni utakiukwa
  • Dhamana endapo mdhaminiwa hatoweza kutekeleza kazi fulani aliyokubali kufanya awali
  • Dhamana endapo muuzaji atashindwa kutekeleza makubaliano ya mauzo ilhali akiwa ameshapokea malipo ya awali

Benki inatoza gharama kwa huduma hii.

  • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

22-Aug-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,721 2,865
Euro EUR 2,487 2,619
Us DollarUSD
2,2752,315
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

Na kuchukua kwao riba, nao wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma. Basi tumewaandalia makafiri katika wao adhabu yenye uchungu.
(Surah al-Nisa', Aya161)