HUDUMA ZITOLEWAZO NA AMANA MOBILE

 • Kuulizia salio
 • Taarifa fupi za akaunti
 • Kununua muda wa maongezi wa simu
 • Kulipia bili za huduma kama za DSTV, LUKU, STARTIMES, TTCL PREPAID/ BROADBAND/ UHURU ONE /SASATEL NA NECTA.
 • Kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti moja kwenda nyingine ndani ya benki ya Amana.
 • Mteja anaweza kupata taarifa ya akaunti yake
 • Utajipatia kitabu cha hundi
 • Kujulishwa kuhusu mabadiliko ya uuzwaji na ununuaji wa fedha za kigeni

SIFA NA FAIDA

 • Rahisi kusajili na kutumia
 • Ni huduma inayofuata kanuni za Kisharia
 • Huduma za kibenki popote ulipo
 • Pata huduma za kibenki saa 24 kwa siku, siku 7 za wiki
 • Rahisi kutumia
 • Huduma za kibenki katika muda halisi
JINSI YA KUTUMIA AMANA MOBILE?
ANGALIA KIFURUSHI CHETU CHA KUANZIA!
 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

18-Apr-2019 // TZS

undefined

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,930.09 3,084.74
Euro EUR 2,536.79 2,671.35
Us DollarUSD
2,268.502,328.50
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi."
(Surah Al Baqarah Aya 276)