SIFA

  • Inaendeshwa kwa mkataba wa Murabaha
  • Malipo ni hadi miezi 18
  • Mteja atatoa kiasi cha asilimia 20 ya gharama zote
  • Hakuna haja ya kuwepo na dhamana

FAIDA

  • Inafuata misingi ya kisharia chini ya mkataba wa Murabaha
  • Vitalu vyote vina hati
  • Inamuwezesha mteja kutimiza ndoto ya kuwa na kiwanja

  • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

22-Aug-2019 // TZS

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,721 2,865
Euro EUR 2,487 2,619
Us DollarUSD
2,2752,315
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi."
(Surah Al Baqarah Aya 276)