SIFA

 • Inaendeshwa kwa misingi ya Kisharia chini ya mkataba wa Musharaka
 • Nyumba hiyo hiyo ndio itakuwa dhamana
 • Muda wa makubaliano ni miaka 15
 • Kiwango cha juu cha uwezeshwaji ni Tsh 100,000,000
 • Mteja atachangia asilimia 20 ya gharama
 • Umri wa mteja hadi wakati wa mwisho wa makubaliano ni miaka 60 na kushuka
 • Bima ya eneo ni asilimia 1
 • Gharama za uhamishaji zitabebwa na mteja

FAIDA

 • Makubaliano yanayofuata misingi ya sharia
 • Inamwezesha mteja kutimiza ndoto ya kuwa na nyumba
 • Mtu maalum wa kumhudumia mteja
 • Gharama nafuu

 • Mastercard

Viwango vya Kubadili Fedha

18-Apr-2019 // TZS

undefined

FEDHA
KUNUNUA KUUZA
UK Pound STG 2,930.09 3,084.74
Euro EUR 2,536.79 2,671.35
Us DollarUSD
2,268.502,328.50
Full Rate Sheet

Customer Service:

Tel. 0657 980000

Email: customerservice@amanabank.co.tz

"Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila mwenye kukanya na afanyae dhambi."
(Surah Al Baqarah Aya 276)